Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 29,2024

DAR ES SALAAM-Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam imekosa fursa ya kushiriki Ligi ya Mabingwa barani Afrika badala yake itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika, baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na alama 69 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ambayo imefikia tamati.



















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news