Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 30,2024

MBEYA-Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) ameibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa katika uchaguzi wa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akimbwaga Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini,Peter Msigwa.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka CHADEMA,Sugu ameibuka kidedea baada ya kupata kura 54 sawa na asilimia 50.94 dhidi ya kura 52 alizopata Peter Msigwa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news