NJOMBE-Mkazi wa jijini Dar es Salaam amekamatwa na Polisi mkoani Njombe akiwa na shilingi milioni 29.4 katika nyumba ya kulala wageni ya Lisbon mjini Makambako, ambapo fedha hizo inadaiwa amezipora katika kampuni aliyokuwa anafanyia kazi ya Interchick jijini Dar es Salaam.

Banga amebainisha kuwa, tayari mtuhumiwa huyo amekabidhiwa kwa Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa hatua za kisheria.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo