IJP Wambura atangaza ajira kwa vijana Jeshi la Polisi

DODOMA-Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IJP) Camillus Wambura ametangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne ambao wana umri wa chini ya miaka 30.
IJP Wambura amesema vijana wenye elimu ya Shahada na Stashahada wanapaswa kuwa na umri kati ya miaka 18 na 30 wakati wenye elimu ya chini ya hiyo wawe na umri kati ya miaka 10 na 25.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

1 Comments

  1. Tunashukulu kwa uwazi wa tangazo hili lakini tunaomba utekelezaji usiwe na vikumbo vingi utaratibu tu unatosha

    ReplyDelete
Previous Post Next Post

International news