Makamu wa Rais Dkt.Mpango akinunua vitabu katika maduka mbalimbali Dar leo


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akinunua vitabu katika maduka mbalimbali jijini Dar es salaam ikiwemo Duka la Mkuki na Nyota pamoja na Duka la Pauline’s Bookshop kwa lengo la kujisomea vitabu hivyo vilivyoandikwa na waandishi wa ndani na nje ya nchi. Makamu wa Rais hutumia muda wa mapumziko katika kujisomea vitabu kwa lengo la kuongeza maarifa katika sekta mbalimbali za uchumi, utawala, dini, siasa, kilimo na ufugaji.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news