Makamu wa Rais Dkt.Mpango ashiriki Uapisho wa Rais wa Comoro


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wakiwasili katika Uwanja wa Michezo wa Malouzini uliopo Moroni nchini Comoro kushiriki Uapisho wa Rais Mteule wa Comoro Mhe. Azali Assoumani tarehe 26 Mei 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akimpongeza Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani mara baada ya kuapishwa katika Sherehe zilizofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Malouzini uliopo Moroni nchini Comoro tarehe 26 Mei 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wakiungana na Viongozi kutoka Mataifa mbalimbali pamoja na Wananchi wa Comoro wakati wa Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Comoro Mhe. Azali Assoumani zilizofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Malouzini uliopo Moroni tarehe 26 Mei 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news