Makamu wa Rais Dkt.Mpango awasili Comoro kushiriki uapisho wa Rais mteule Azali Assoumani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Prince Said Ibrahim uliopo Moroni nchini Comoro tarehe 25 Mei 2024. Makamu wa Rais anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uapisho wa Rais Mteule wa Comoro Azali Assoumani unaotarajiwa kufanyika tarehe 26 Mei 2024. (Kulia ni Waziri wa Kilimo wa Comoro Mhe. Houmed Mssaidie na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akitazama ngoma ya asili ya Comoro mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Prince Said Ibrahim uliopo Moroni nchini Comoro tarehe 25 Mei 2024. Makamu wa Rais anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uapisho wa Rais Mteule wa Comoro Azali Assoumani unaotarajiwa kufanyika tarehe 26 Mei 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Kilimo wa Comoro Mhe. Houmed Mssaidie mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Prince Said Ibrahim uliopo Moroni nchini Comoro tarehe 25 Mei 2024. Makamu wa Rais anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uapisho wa Rais Mteule wa Comoro Azali Assoumani unaotarajiwa kufanyika tarehe 26 Mei 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news