VIDEO:Miaka 60 ya Muungano, nafasi ya Benki Kuu ya Tanzania kwenye maendeleo ya kiuchumi
Jukumu la msingi la Benki Kuu ya Tanzania ni kuandaa na kutekeleza sera ya fedha inayolenga kudhibiti mfumuko wa bei na kujenga mfumo wa fedha ulio imara na unaofaa kwa ukuaji endelevu wa uchumi wa taifa.