Afisa Mitihani Tawi la IPA-Pemba, Bw. Hafidh Hemed (kulia) akifafanua jambo kwa Bw. Richard M. Cheyo (kushoto) Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko, Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim alipotembelea Banda la IPA wakati wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yanayofanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal jijini Tanga. (Picha na IPA).
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko, Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dr. Salim Ahmed Salim, Bw. Richard M. Cheyo (kushoto) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) Zanzibar, wakati wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yaliyozinduliwa leo katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal, jijini Tanga. Kulia ni Bw. Hafidh Hemed, Afisa Mitihani wa Tawi la IPA- Pemba. (Picha na IPA).
Tags
Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA)
Dr. Salim Ahmed Salim Centre for Foreign Relations
Habari
Picha
Picha Chaguo la Mhariri