Muonekano wa Kituo cha Kupokea, Kupoza na Kusambaza Umeme cha Ifakara Wilaya ya Kilombero

MOROGORO-Muonekano wa Kituo cha kupokea Kupoza na kusambaza Umeme kilichohengwa wilayani kilombero Ifakara kinatarajiwa kuzinduliwa kesho, Mei 31 na Dkt. Doto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati pamoja na Mhe. Christine Grau, Balozi wa Umoja wa Ulaya.
Kituo hicho kimejengwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ufadhili wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) ambapo kukamilika kwake kumefanikisha Wilaya ya Kilombero, Ulanga na Malinyi kuwa na umeme wa uhakika.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news