Mustafa Haidi Mkulo azikwa Kilosa

MOROGORO-Aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa zamani wa Kilosa mkoani Morogoro, Mustafa Haidi Mkulo maziko yake yamefanyika Mei 5,2024 nyumbani kwake Kilosa ambapo yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mheshimiwa Adam Malima na mwenyeji wake Mkuu wa Wilaya ya Kilosa,Mheshimiwa Shaka Hamdu Shaka.

Sambamba na wabunge wote wa majimbo mawili ya Kilosa Mheshimwa Palamagamba Kabudi wa Kilosa na Mheshimiwa Denis Londo wa Mikumi na viongozi mbalimbali wa dini, chama na Serikali.
Marehemu Mheshimiwa Mkulo amewahi kuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya Awamu ya Nne.

BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE.

AMEN.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news