Naibu Gavana, Sauda Msemo ashiriki Mkutano wa CCBG nchi za SADC


Naibu Gavana Uthabiti na Usimamizi wa Sekta ya Fedha, Bi. Sauda Msemo (wa saba kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na magavana walioshiriki mkutano wa Kamati ya Magavana wa Benki Kuu (CCBG) wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) ambapo wamejadili mambo mbalimbali ya ustawi wa sekta ya fedha katika kanda ya SADC na barani Afrika kiujumla.Mkutano huo, ulifanyika tarehe 9 Mei, 2024 katika Ofisi za Benki Kuu ya Eswatini,jijini Ezulwini, Ufalme wa Eswatini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news