OUT yawafikia wenye mahitaji maalumu maonesho Tanga

TANGA-Tunawakaribisha wananchi wote wa mkoa wa Tanga na mikoa ya jirani kufika kwenye Banda la Maonesho la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), kwenye viwanja vya shule ya sekondari Popatlal jijini Tanga. Huduma mbalimbali zinatolewa katika banda hili hususani kwa watu wenye mahitaji maalumu ambapo watu wenye ulemavu wa kusikia anawasiliana vizuri na asiyeona kwa kutumia teknolojia.
Pia, yupo mtaalamu wa lugha ya alama anayewapatia huduma watu wote wenye mahitaji maalumu kupata maelezo mbalimbali kutoka OUT.

Karibuni sana, tupo kuanzia Mei 25 mpaka Mei 31, 2024.

#elimuborananafuukwawote #affordablequalityeducationforall #ODL #out

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news