Picha:Miaka 62 ya Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (TRS)

DODOMA-Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya maadhimisho ya Miaka 62 ya Chama Cha Msalaba Mwekundi Tanzania inayofanyika leo Mei 11, 2024 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo anatarajiwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko. Aidha, maadhimisho hayo yameudhuriwa na washiriki kutoka nchi za Uganda, Spain, Botswana, Kenya, Ubeligiji na Qatar.Kaulimbiu: “Natoa kwa furaha na furaha ninayotoa ni zawadi”.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news