Rais Dkt.Samia ahutubia Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) akihutubia viongozi mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza hilo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news