Rais Dkt.Samia anaguswa na maisha ya Watanzania-Waziri Mkuu

DAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 18, 2024 amezungumza na wakazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Rais Dkt. Samia Samia Suluhu Hassam anaguswa na maisha ya Watanzania na anataka kuona watanzania wanahudumiwa.
Aidha, Mheshimiwa Majaliwa amewaeleza wakazi hao kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia ipo imara na inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na kuangalia mahitaji ya kila eneo nchini na kuyafanyia kazi

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news