Rais Dkt.Samia aongoza kikao cha kwanza cha Tume ya Mipango

DODOMA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao cha kwanza cha Tume ya Mipango iliyoanzishwa kuwa mujibu wa Sheria ya Tume ya Mipango ya mwaka 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi pamoja na Wajumbe wa Tume ya Mipango mara baada ya kuwaapisha Wajumbe wa Tume hiyo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Mipango mara baada ya kuwaapisha na kuzungumza nao katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news