

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Balozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran hapa nchini Mhe. Hossein Alvandi Bahineh mara baada ya kusaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Nchi hiyo uliopo Oysterbay jijini Dar es Salaam tarehe 24 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Balozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran hapa nchini Mhe. Hossein Alvandi Bahineh mara baada ya kusaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Nchi hiyo uliopo Oysterbay Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Balozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran hapa nchini Mhe. Hossein Alvandi Bahineh pamoja na Maafisa Mbalimbali wa Ubalozi huo mara baada ya kusaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Nchi hiyo uliopo Oysterbay Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Mei, 2024.