Rais Dkt.Samia awasili nchini Ufaransa kushiriki Mkutano wa Nishati Safi ya Kupikia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege Paris nchini Ufaransa tarehe 12 Mei, 2024. Rais Samia anatarajiwa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika tarehe 14 Mei, 2024 Jijini Paris na pia atakuwa Mwenyekiti Mwenza katika Mkutano huo wa Kimataifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege Paris nchini Ufaransa tarehe 12 Mei, 2024. Rais Samia anatarajiwa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika tarehe 14 Mei, 2024 Jijini Paris na pia atakuwa Mwenyekiti Mwenza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mtoto Khaira Ali Jabir mara baada ya kuwasili Jijini Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia tarehe 12 Mei, 2024.