Rais Dkt.Samia katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA) Mhe. Dkt. Fatih Birol mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika uliofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024. Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA) Mhe. Dkt. Fatih Birol mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye ni Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Afrika akishiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024 katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa. Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo Rais wa Sierra Leone Mhe. Julius Maada Bio mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA) Mhe. Dkt. Fatih Birol pamoja na Rais wa Sierra Leone Mhe. Julius Maada Bio mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news