Rais wa IPU, Spika Dkt.Tulia ashiriki ufunguzi wa ICONS-2024

VIENNA-Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 20 Mei, 2024 ameshiriki Ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Nyuklia (ICONS-2024) unaofanyika Vienna nchini Austria.
Dkt. Tulia akiwakilisha IPU kwenye Mkutano huo, ameshiriki pamoja na Wajumbe wengine kujadili kuhusu Usalama wa Nyuklia na jukumu la Nchi zote kuhuhisha Mkataba wa Kimataifa wa Matumizi Salama ya Nyuklia katika ngazi za ndani za Mataifa yao.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news