WINDHOEK-Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia umeratibu na kushiriki katika Jukwaa la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Namibia lililofanyika jijini Windhoek tarehe 30 Mei, 2024.
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki,Balozi Stephen Mbundi,ameongoza ujumbe wa Tanzania katika jukwaa hilo.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Namibia, Mheshimiwa Ceasar Waitara.