Ujenzi yachangia asilimia 14 Pato la Taifa

DODOMA-Sekta ya Ujenzi imekuwa ikikua kwa wastani wa asilimia 12 kwa mwaka kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita.
Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25 bungeni jijini Dodoma.

Amesema, wastani wa mchango wa sekta katika Pato la Taifa katika kipindi cha miaka 10 kuanzia mwaka 2012 hadi 2022 ni asilimia 14.

“Serikali imekuwa ikitenga fedha nyingi kila mwaka kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambayo inatekelezwa na makandarasi kutoka ndani na nje ya nchi.“

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news