"Serikali itawaletea watu wenye uwezo siyo makanjanja," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) uliofanyika leo Mei 26, 2024 mkoani Njombe.