"Kwa wataalam wanaotoa msaada wa kisheria, tutafute suluhu ya pamoja badala ya kutafuta mshindi miongoni mwetu," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) uliofanyika leo Mei 26, 2024 mkoani Njombe.