"Ushirikiano wa Tanzania na Uganda Sekta ya Nishati umeendelea kuimarishwa na kuwa imara,"Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akifunga Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na Uganda iliyofanyika Mei 24, 2024 jijini Dar es Salaam.