VIDEO:Waziri Prof.Mbarawa aja na taarifa njema kuhusu treni ya SGR, agusia nauli

DAR-Waziri wa Uchukuzi,Mheshimiwa Prof. Makame Mbarawa amesema, safari ya Treni ya Mwendokasi (SGR) kutoka Dar es salaam mpaka Dodoma inatarajiwa kuanza Julai 25,mwaka huu.
Ameyasema hayo leo Mei 24,2024 baada ya kufanya ziara ya kukagua miundombinu ya SGR ikiwemo madaraja na vivuko kipande cha Dar es salaam na kujiridhisha kuwa treni hiyo itaanza kwani maandalizi yanaendelea vizuri.

Pia, amesema nauli ya treni hiyo itakuwa rafiki kwa kila Mtanzania na kila mtu ataweza kusafiri kuanzia daraja la kwanza mpaka daraja la tatu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news