Waziri Dkt.Nchemba amvalisha skafu ya heshima Rose Muhando

SINGIDA-Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt.Mwigulu Nchemba amemvalisha Skafu Msanii wa Injili Tanzania, Malkia Rose Muhando kutokana na kubarikiwa na huduma anayoitoa msanii huyo ikiwa ni zaidi ya miaka 20 mpaka sasa.
Dkt. Mwigulu amefanya zoezi hilo katika Kanisa la KKKT Ndagu Iramba mkoani Singida wakati Rose Muhando akitoa huduma ya uimbaji katika kanisa hilo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

1 Comments

  1. Mh muiguru unafanya sanaa kazi na unahofu ya Mungu MUNGU AKUBARIKI

    ReplyDelete
Previous Post Next Post

International news