Waziri Dkt.Nchemba aongoza kikao cha wadau wa kodi

WAZIRI wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameongoza kikao cha Wadau wa Kodi (Think Tank), ukiihusisha Serikali (Tanzania Bara na Zanzibar) na Sekta Binafsi ambapo kwa siku mbili, wanajadili namna ya kuboresha sera za kodi kuelekea Bajeti Kuu mpya ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, inayotarajiwa kusomwa bungeni mjini Dodoma mwezi Juni, 2024.
Hatua hiyo ya Serikali, imepongezwa na wajumbe wote kutokana na mchakato wa uandaaji wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 umekuwa shirikishi huku maoni mengi yaliyotolewa na wadau yamepewa kipaumbele.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news