Waziri Dkt.Nchemba ateta na Ujumbe wa LAAC kutoka Zambia

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisikiliza salamu mbalimbali za wajumbe na kuzungumza na ujumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) kutoka Bunge la Zambia, wakiongozwa na Mhe. Darious Mulunda, walipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) kutoka Bunge la Zambia wakiongozwa na Mhe. Darious Mulunda ambao wako katika ziara nchini, walipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) kutoka Bunge la Zambia, wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati yao na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), walipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiagana na Kiongozi wa Ujumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) kutoka Bunge la Zambia, Mhe. Darious Mulunda baada ya kikao kati yao, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiuongoza ujumbe wa Wizara katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) kutoka Bunge la Zambia wakiongozwa na Mhe. Darious Mulunda, walipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news