Waziri Dkt.Nchemba ateta na ujumbe kutoka Benki ya TIB


Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa saba kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo TIB, Bw. Sosthenes Kewe, wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Wizara ya Fedha na Benki ya Maendeleo ya TIB baada ya kumalizika kwa mkutano kati yao uliojadili maendeleo ya Benki hiyo na mchango wake katika maendeleo ya Taifa.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia) akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo TIB, Bi. Lilian Mbassy, baada ya kumalizika kwa mkutano na ujumbe wa Benki hiyo ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo TIB, Bw. Sosthenes Kewe (katikati) ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Benki hiyo na mchango wake katika maendeleo ya Taifa, uliofanyika Wizara ya Fedha Treasure Square, jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo TIB, Bw. Sosthenes Kewe, akielezea umuhimu wa Benki hiyo katika kuchochea ukuaji wa Uchumi, wakati wa mkutano kati yake na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Benki hiyo na mchango wake katika maendeleo ya Taifa, uliofanyika Wizara ya Fedha Treasure Square, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiongoza Mkutano kati yake na ujumbe wa Benki ya Maendeleo TIB, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo, Bw. Sosthenes Kewe, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Benki hiyo na mchango wake katika maendeleo ya Taifa.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo TIB, Bw. Sosthenes Kewe (kushoto) baada ya kumalizika kwa mkutano kati ya ujumbe wa Benki hiyo jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news