Waziri Dkt.Nchemba ateta na Ujumbe kutoka Ecobank Tanzania

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiuongoza ujumbe wa Wizara hiyo katika picha ya pamoja na ujumbe wa Ecobank Tanzania ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo, Bw. Charles Asiedu, baada ya kikao kilichoangazia ushirikiano kati ya Serikali na benki hiyo, jijini Dodoma. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma).
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza na ujumbe wa Ecobank Tanzania (hawapo pichani) ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Charles Asiedu, jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Ecobank Tanzania, Bw. Charles Asiedu, akimuelezea Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), mafanikio ya benki hiyo wakati alipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma.
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha, Bi. Dionesia Mjema, akifafanua jambo wakati wa kikao cha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), na ujumbe kutoka Ecobank Tanzania, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Ecobank Tanzania, Bw. Charles Asiedu, baada ya kikao kilichoangazia ushirikiano kati ya Serikali na benki hiyo, jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news