Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko (Kushoto), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Deogratius Ndejembi (katikati) Bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2024.