Waziri Prof.Mkenda ateta na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Mifugo cha Harper

LONDON-Mei 21, 2024 jijini London nchini Uingereza,Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amekutana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Mifugo cha Harper Adams, Prof. Ken Sloan.
Chuo hicho kinatoa mafunzo kwa kutumia mfumo wa amali ambapo, Prof.Mkenda ametembelea kujionea namna wanavyoendesha programu hizo na kufanya mazungumzo ya kuanzisha uhusiano kati ya chuo hicho na Vyuo Vikuu vinavyotoa mafunzo katika fani za Kilimo na mifugo nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news