Waziri Prof.Mkenda awasili Tanga uzinduzi wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu

TANGA-Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda tayari amefika jijini Tanga kwa ajili ya Uzinduzi wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu
Prof. Mkenda leo Mei 27, 2024 amewasili katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian akiwa ameongozana na Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Michezo na Utamaduni Mhe. Husna Sekiboko (Mb).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news