Wizara ya Maji yaipa tano Wizara ya Fedha

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ameteta na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso (Mb), kuhusu maendeleo ya Sekta ya maji nchini, Sekta ambayo ni muhimu kwa maendeleo na ustawi wa wananchi, ambapo Mhe. Aweso amempongeza Waziri wa Fedha kwa kuipa umuhimu sekta hiyo chini ya Uongozi Mahiri wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news