Balozi Dkt.Nchimbi asikiliza kero za wananchi Babati


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akihutubia wananchi na kusikiliza kero zao mbalimbali, wakati na baada ya mkutano wa hadhara, uliofanyika katika Uwanja wa Stendi ya (zamani) Babati Mjini, Jumamosi, Juni 1, 2024, ambapo alihitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani humo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news