Balozi Dkt.Nchimbi asimikwa kuwa Chifu Upareni


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano wa ndani na Wanachama na Viongozi wa CCM wa Wilaya ya Same, leo Ijumaa, Juni 7, 2024, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku nne ya kikazi Mkoa wa Kilimanjaro. Kabla ya mkutano huo, Balozi Nchimbi alisimikwa kuwa mmoja wa Wafumwa (Chifu) wa Kabila la Wapare.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news