Balozi Dkt.Nchimbi ndani ya Kilimanjaro

KILIMANJARO-Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wanachama wa CCM, wawakilishi wa makundi mbalimbali, Viongozi wa Chama na Jumuiya zake wa ngazi mbalimbali, kwenye mkutano wa ndani, uliofanyika Ofisi za CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Jumatano Juni 5, 2024, ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya kikazi mkoani humo, ambayo ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Oganaizesheni, Ndugu Issa Usi Haji Gavu, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla na Ndugu Rabia Hamid Abdalla, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news