Balozi Dkt.Nchimbi ndani ya Manyara


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wanachama na Viongozi wa Chama na Serikali na wawakilishi wa makundi mbalimbali Mkoa wa Manyara, kwenye mkutano wa ndani, uliofanyika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Manyara, mjini Babati, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku mbili mkoani humo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news