Bonanza la Menejimenti ya Tume ya Madini jijini Tanga

TANGA-Bonanza la Menejimenti ya Tume ya Madini linaendelea muda huu katika Viwanja Vya Donge, TFF jijini Tanga mara baada ya kumalizika kwa kikao cha menejimenti cha Tume ya Madini kilichofanyika kwa siku mbili kwa lengo la kujadili utekelezaji wa majukumu ya Tume kwa kipindi cha mwaka 2023/2024 na kuweka mikakati ya Tume kwa kipindi cha mwaka 2024/2025.
Bonanza linaloongozwa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini,Mhandisi Yahya Samamba linakutanisha Wakurugenzi, Mameneja na Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news