Dkt.Biteko kuzindua taarifa za utendaji katika Sekta ya Nishati kwa mwaka 2022/2023
DODOMA-Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Mheshimiwa Dkt.Doto Biteko anatarajiwa kuzindua taarifa za utendaji katika Sekta ya Nishati kwa mwaka 2022/2023. Uzinduzi huo utafanyika Juni 14,2024 katika Ukumbi wa Hazina jijini Dodoma;