Dkt.Mwanga tuma timu kufanya ukaguzi,kabla sijafanya maamuzi-Waziri Mavunde

SHINYANGA-Waziri wa Madini,Mheshimiwa Anthony Mavunde akiwa na watendaji wa Wizara ya Madini amekuta na viongozi wa Nkandi Gold Minewilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga kwenye kikao cha usuluhishi baina ya wamiliki wa duara Na. 7 na 8.
Katika kikao hicho Waziri Mavunde amemuagiza Kamishna wa Madini,Dkt. Abdulrahman Mwanga kutuma timu kukagua usalama wa shughuli za uchimbaji katika maduara hayo kabla hajatoa uamuzi wa mwisho wa kutatua mgogoro wa muingiliano uliopo baina ya wamiliki wa maduara hayo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news