Dkt.Tulia awaongoza Mbeya Mjini kufanya usafi

MBEYA-Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 1 Juni, 2024 amewaongoza Wananchi wa Mbeya Mjini kushiriki zoezi la kufanya Usafi katika maeneo mbalimbali ya Jiji hilo ikiwa ni ishara ya kuunga mkono kampeni ya Usafi wa Mazingira Kitaifa inayofanyika kila Juni 1 ya kila mwaka.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news