Dkt.Yonazi aongoza kikao cha Kamati ya Ushauri ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi

DAR-Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha 12 cha Kamati ya Ushauri ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kilichohusu Kujadili Taarifa ya Maendeleo ya Utekelezaji wa Awamu ya Tatu na ya Mwisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022.
Taarifa hii ni ya kipindi cha Desemba, 2023 hadi Mei, 2024. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Julius Nyerere Interational Covention Centre (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Juni, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news