Dkt.Yonazi aongoza Kikao cha Kamati Tendaji ya AFDP

DAR-Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu),Dkt. Jim Yonazi ameongoza Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichofanyika Juni 20, 2024 jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi akiongoza Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichofanyika tarehe 20 Juni, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akiongoza Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichofanyika tarehe 20 Juni, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara wa Mifugo na Uvuvi Profesa Riziki Shemdoe akizungumza jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichofanyika tarehe 20 Juni, 2024 jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Kapteni Hamad Bakar Hamad akifafanua jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP).
Mratibu wa Program ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Bw. Salimu Mwinjaka akieleza jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP).
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu (katikati) akifuatilia jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP).
.Kiongozi wa Timu ya Mshauri Muelekezi wa upembuzi yakinifu wa ununuzi wa Meli za Uvuvi kutoka Kampuni ya DMG na Chuo Kikuuu Cha Dar es Salaam Dkt. Aloyce Hepelwa akiwasilisha taarifa ya upembuzi yakinifu wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP).
Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uvuvi Nchini (TAFICO), Bw. Denis Simba akizungumza wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP).
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) wakifuatilia hoja wakati wa kikao hicho.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news