Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 11,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 246.05 na kuuzwa kwa shilingi 248.47 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 138.25 na kuuzwa kwa shilingi 139.52.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 11, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 706.54 na kuuzwa kwa shilingi 713.39 hukumu Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 166.60 na kuuzwa kwa shilingi 167.98.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2788.53 na kuuzwa kwa shilingi 2817.47.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1711.21 na kuuzwa kwa shilingi 1728.84 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3442.12 na kuuzwa kwa shilingi 3476.53.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.11 na kuuzwa kwa shilingi 20.16 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.49.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.66 na kuuzwa kwa shilingi 0.69 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2594.70 na kuuzwa kwa shilingi 2620.65 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8460.89 na kuuzwa kwa shilingi 8542.72.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3399.42 na kuuzwa kwa shilingi 3334.25 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.01.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1885.41 na kuuzwa kwa shilingi 1903.71 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2895.23 na kuuzwa kwa shilingi 2922.22.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 11th;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED706.5415713.3933709.967411-Jun-24
2ATS166.5021167.9775167.239811-Jun-24
3AUD1711.20661728.84281720.024711-Jun-24
4BEF56.795557.298357.046911-Jun-24
5BIF0.89130.89930.895311-Jun-24
6CAD1885.41131903.71211894.561711-Jun-24
7CHF2895.22762922.22342908.725511-Jun-24
8CNY358.0135361.5687359.791111-Jun-24
9DEM1039.66941181.80381110.736611-Jun-24
10DKK373.9358377.6534375.794611-Jun-24
11ESP13.770113.891613.830911-Jun-24
12EUR2788.52722817.46082802.99411-Jun-24
13FIM385.3367388.7513387.04411-Jun-24
14FRF349.2809352.3705350.825711-Jun-24
15GBP3299.42433334.25293316.838611-Jun-24
16HKD332.0753335.3917333.733511-Jun-24
17INR31.08131.371231.226111-Jun-24
18ITL1.18331.19371.188511-Jun-24
19JPY16.529916.69216.61111-Jun-24
20KES20.11420.158820.136411-Jun-24
21KRW1.88561.9041.894811-Jun-24
22KWD8460.89598542.71938501.807611-Jun-24
23MWK1.39051.49671.443611-Jun-24
24MYR549.8417554.8697552.355711-Jun-24
25MZM40.554940.896540.725711-Jun-24
26NLG1039.66941048.88931044.279411-Jun-24
27NOK242.3529244.7171243.53511-Jun-24
28NZD1584.84451601.74131593.292911-Jun-24
29PKR8.85579.40999.132811-Jun-24
30RWF1.96192.01511.988511-Jun-24
31SAR691.9023698.7841695.343211-Jun-24
32SDR3442.10893476.52993459.319411-Jun-24
33SEK246.0484248.4759247.262111-Jun-24
34SGD1918.30771936.34551927.326611-Jun-24
35UGX0.66050.69310.676811-Jun-24
36USD2594.7032620.652607.676511-Jun-24
37GOLD5983229.36746044371.9866013800.676711-Jun-24
38ZAR138.2529139.5239138.888411-Jun-24
39ZMW95.245598.985897.115711-Jun-24
40ZWD0.48560.49540.490511-Jun-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news