Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 14,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2603.12 na kuuzwa kwa shilingi 2629.15 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8495.82 na kuuzwa kwa shilingi 8577.98.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 14, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3323.92 na kuuzwa kwa shilingi 3357.95 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1895.18 na kuuzwa kwa shilingi 1911.55 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2908.19 na kuuzwa kwa shilingi 2935.96

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 249.21 na kuuzwa kwa shilingi 251.65 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 141.42 na kuuzwa kwa shilingi 142.79.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 708.79 na kuuzwa kwa shilingi 715.69 hukumu Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 167.04 na kuuzwa kwa shilingi 168.52.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2806.42 na kuuzwa kwa shilingi 2835.01.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1728.47 na kuuzwa kwa shilingi 1746.28 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3440.69 na kuuzwa kwa shilingi 3475.10.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.34 na kuuzwa kwa shilingi 20.38 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.49.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.67 na kuuzwa kwa shilingi 0.69 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.91.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 14th;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED708.7945715.6876712.241114-Jun-24
2ATS167.0422168.5223167.782214-Jun-24
3AUD1728.47091746.28141737.376214-Jun-24
4BEF56.979757.484157.231914-Jun-24
5BIF0.90140.90980.905614-Jun-24
6BWP190.8086193.5054192.15714-Jun-24
7CAD1893.17731911.5531902.365214-Jun-24
8CHF2908.18772935.95762922.072614-Jun-24
9CNY358.9964362.5464360.771414-Jun-24
10CUC108.4633109.5479109.005614-Jun-24
11DEM1043.04161185.6371114.339314-Jun-24
12DKK376.2711380.0064378.138714-Jun-24
13DZD19.346219.454319.400214-Jun-24
14ESP13.814813.936713.875714-Jun-24
15EUR2806.42242835.01242820.717414-Jun-24
16FIM386.5865390.0122388.299314-Jun-24
17FRF350.4138353.5134351.963614-Jun-24
18GBP3323.92243357.95043340.936414-Jun-24
19HKD333.3144336.6346334.974514-Jun-24
20INR31.172831.463831.318314-Jun-24
21IQD1.98862.00551.99714-Jun-24
22IRR0.0620.06260.062314-Jun-24
23ITL1.18711.19761.192414-Jun-24
24JPY16.570916.733416.652114-Jun-24
25KES20.336920.38120.358914-Jun-24
26KRW1.89421.91251.903314-Jun-24
27KWD8495.81868577.97728536.897914-Jun-24
28MWK1.3951.50231.448714-Jun-24
29MYR553.2665558.2059555.736214-Jun-24
30MZM40.686441.029240.857814-Jun-24
31NAD141.4931142.7916142.142314-Jun-24
32NGN1.75891.67461.716714-Jun-24
33NLG1043.04161052.29141047.666514-Jun-24
34NOK245.4476247.8647246.656114-Jun-24
35NZD1605.08311622.18561613.634314-Jun-24
36PKR8.87649.43029.153314-Jun-24
37QAR714.1615720.8088717.485214-Jun-24
38RWF1.98572.03192.008814-Jun-24
39SAR693.943700.7329697.337914-Jun-24
40SDR3440.69833475.10533457.901814-Jun-24
41SEK249.2096251.6535250.431514-Jun-24
42SGD1929.80861948.38451939.096514-Jun-24
43TRY80.580981.376780.978814-Jun-24
44UGX0.67090.70390.687414-Jun-24
45USD2603.11882629.152616.134414-Jun-24
46GOLD6004275.75796065343.8846034809.82114-Jun-24
47ZAR141.42142.7986142.109314-Jun-24
48ZMK95.808999.573697.691214-Jun-24
49ZWD0.48710.4970.49214-Jun-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news