Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 18,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.67 na kuuzwa kwa shilingi 0.70 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.90.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 18, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2593.94 na kuuzwa kwa shilingi 2619.88 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8457.03 na kuuzwa kwa shilingi 8538.82.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3297.04 na kuuzwa kwa shilingi 3320.96 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1883.76 na kuuzwa kwa shilingi 1902.05 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2909.96 na kuuzwa kwa shilingi 2938.73.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 245.63 na kuuzwa kwa shilingi 248.66 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 141.32 na kuuzwa kwa shilingi 142.69.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 709.29 na kuuzwa kwa shilingi 713.16 hukumu Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 166.45 na kuuzwa kwa shilingi 167.92.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2770.07 na kuuzwa kwa shilingi 2798.82.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1712.52 na kuuzwa kwa shilingi 1730.17 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3438.57 na kuuzwa kwa shilingi 3462.85.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.30 na kuuzwa kwa shilingi 20.35 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.39 na kuuzwa kwa shilingi 1.49.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 18th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED706.2954713.1642709.729818-Jun-24
2ATS166.4532167.9281167.190718-Jun-24
3AUD1712.51961730.16881721.344218-Jun-24
4BEF56.778857.281457.030118-Jun-24
5BIF0.89810.90640.902318-Jun-24
6BWP190.1358192.8232191.479518-Jun-24
7CAD1883.76221902.04731892.904818-Jun-24
8CHF2909.96252938.73252924.347518-Jun-24
9CNY357.5186361.0839359.301218-Jun-24
10CUC108.0809109.1617108.621318-Jun-24
11DEM1039.36391181.45661110.410318-Jun-24
12DKK371.3853375.0723373.228818-Jun-24
13DZD19.327919.315719.321818-Jun-24
14ESP13.766113.887513.826818-Jun-24
15EUR2770.06922798.81782784.443518-Jun-24
16FIM385.2234388.637386.930218-Jun-24
17FRF349.1783352.267350.722618-Jun-24
18GBP3287.04153320.95993304.000718-Jun-24
19HKD332.0754335.3919333.733618-Jun-24
20INR31.052831.356631.204718-Jun-24
21IQD1.98161.99841.9918-Jun-24
22IRR0.06180.06240.062118-Jun-24
23ITL1.18291.19341.188218-Jun-24
24JPY16.494616.656416.575518-Jun-24
25KES20.304820.348620.326718-Jun-24
26KRW1.87251.89031.881418-Jun-24
27KWD8457.03118538.81758497.924318-Jun-24
28MWK1.39011.4971.443618-Jun-24
29MYR549.9132554.8242552.368718-Jun-24
30MZM40.536740.878140.707418-Jun-24
31NAD141.3992142.779142.089118-Jun-24
32NGN1.75271.66871.710718-Jun-24
33NLG1039.36391048.58111043.972518-Jun-24
34NOK242.8465245.2336244.040118-Jun-24
35NZD1588.52921605.46251596.995818-Jun-24
36PKR8.84839.40379.12618-Jun-24
37QAR711.6435718.2673714.955418-Jun-24
38RWF1.97822.02432.001218-Jun-24
39SAR691.3856698.2623694.823918-Jun-24
40SDR3428.56693462.85263445.709818-Jun-24
41SEK245.6337248.0571246.845418-Jun-24
42SGD1915.90261933.91891924.910818-Jun-24
43TRY79.437680.219279.828418-Jun-24
44UGX0.67120.70430.687718-Jun-24
45USD2593.94062619.882606.910318-Jun-24
46GOLD6043868.61456105617.24066074742.927518-Jun-24
47ZAR141.3199142.6989142.009418-Jun-24
48ZMK97.1476100.958899.053218-Jun-24
49ZWD0.48540.49520.490318-Jun-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news