Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 20,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1734.08 na kuuzwa kwa shilingi 1752.73 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3427.36 na kuuzwa kwa shilingi 3461.64.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 20, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.32 na kuuzwa kwa shilingi 20.39 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.39 na kuuzwa kwa shilingi 1.50.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.67 na kuuzwa kwa shilingi 0.70 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.90 na kuuzwa kwa shilingi 0.91.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2601.38 na kuuzwa kwa shilingi 2627.39 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8486.53 na kuuzwa kwa shilingi 8568.60.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3310.25 na kuuzwa kwa shilingi 3345.19 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1897.57 na kuuzwa kwa shilingi 1916.26 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2943.39 na kuuzwa kwa shilingi 2971.15.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 249.54 na kuuzwa kwa shilingi 252.00 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 144.29 na kuuzwa kwa shilingi 145.71.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 708.32 na kuuzwa kwa shilingi 715.21 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 166.93 na kuuzwa kwa shilingi 168.41.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2795.44 na kuuzwa kwa shilingi 2823.92.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 20th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED708.3201715.2085711.764320-Jun-24
2ATS166.9304168.4095167.669920-Jun-24
3AUD1734.07741752.73191743.404620-Jun-24
4BEF56.941657.445657.193620-Jun-24
5BIF0.90090.90840.904620-Jun-24
6BWP192.5018194.6896193.595720-Jun-24
7CAD1897.56821916.26431906.916320-Jun-24
8CHF2943.39922971.15232957.275820-Jun-24
9CNY358.4694362.0491360.259220-Jun-24
10CUC108.3907109.4746108.932620-Jun-24
11DEM1042.34331184.84331113.593320-Jun-24
12DKK374.8381378.5592376.698620-Jun-24
13DZD19.435919.435919.435920-Jun-24
14ESP13.805513.927313.866420-Jun-24
15EUR2795.43892823.91882809.678820-Jun-24
16FIM386.3277389.7511388.039420-Jun-24
17FRF350.1792353.2768351.72820-Jun-24
18GBP3310.25133345.19293327.722120-Jun-24
19HKD333.2449336.573334.90920-Jun-24
20INR31.189731.480831.335320-Jun-24
21IQD1.98732.00411.995720-Jun-24
22IRR0.06190.06250.062220-Jun-24
23ITL1.18631.19681.191620-Jun-24
24JPY16.471716.631216.551420-Jun-24
25KES20.323320.367420.345320-Jun-24
26KRW1.88361.90131.892420-Jun-24
27KWD8486.53068568.60068527.565620-Jun-24
28MWK1.39411.50051.447320-Jun-24
29MYR552.8961558.0692555.482720-Jun-24
30MZM40.381540.722140.551820-Jun-24
31NAD144.3405145.703145.021820-Jun-24
32NGN1.78181.71721.749520-Jun-24
33NLG1042.34331051.5871046.965120-Jun-24
34NOK246.2795248.6811247.480320-Jun-24
35NZD1595.16391612.42921603.796620-Jun-24
36PKR8.88329.42399.153620-Jun-24
37QAR713.6835720.3263717.004920-Jun-24
38RWF1.96172.02271.992220-Jun-24
39SAR693.423700.3199696.871420-Jun-24
40SDR3427.36413461.63783444.500920-Jun-24
41SEK249.5421252.0036250.772920-Jun-24
42SGD1925.94671945.06221935.504520-Jun-24
43TRY79.983880.758880.371320-Jun-24
44UGX0.66860.70160.685120-Jun-24
45USD2601.37622627.392614.383120-Jun-24
46GOLD6051956.39996114029.53966082992.969820-Jun-24
47ZAR144.2932145.7152145.004220-Jun-24
48ZMK98.9543102.8333100.893820-Jun-24
49ZWD0.48680.49660.491720-Jun-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news